وَتَتَّخِذُونَ مَصَانِعَ لَعَلَّكُمۡ تَخۡلُدُونَ ١٢٩
Watattakhidhūna masāni'a la'allakum takhludūn
Na mnajenga majengo ya fakhari kama kwamba mtaishi milele! 129
Maelezo ya chini
129 Na mnajenga majumba ya fakhari na imara, na mahodhi ya maji, kwa kutaraji kuishi milele katika dunia hii, kama kwamba hamtakufa.