Surat Ash-Shu'ara, aya 128

26:128

أَتَبۡنُونَ بِكُلِّ رِيعٍ ءَايَةٗ تَعۡبَثُونَ ١٢٨

Atabnūna bikulli rī'in āyatan ta'bathūn

Je! Mnajenga juu ya kila mnyanyuko kumbusho la kufanyia upuuzi? 128

Maelezo ya chini

128 Je! Mnasimamisha juu ya kila pahala palipo nyanyuka katika nchi jengo refu kwa ajili ya kujifakhirisha, na mnakutana humo kwa mambo ya upuuzi na fisadi? Mwenyezi Mungu Subhanahu anataka kwa haya kuwazindua watende yatakayo wanufaisha, na anawatahayarisha kwa kuacha kwao Imani na vitendo vyema.