كَذَّبَتۡ عَادٌ ٱلۡمُرۡسَلِينَ ١٢٣
Kaddhabat 'ādunil-mursalīn
Kina A'd waliwakanusha Mitume. 123
Maelezo ya chini
123 Kabila ya A'di ilimkanusha Mtume wao Hud a.s. Na kwa hivyo wakawa ndio wamewakadhibisha Mitume wote, kwa kuwa wito wao ni mmoja katika asli yake na lengo lake.