Surat Ash-Shu'ara, aya 124

26:124

إِذۡ قَالَ لَهُمۡ أَخُوهُمۡ هُودٌ أَلَا تَتَّقُونَ ١٢٤

Idh qāla lahum akhūhum hūdun alā tattaqūn

Alipo waambia ndugu yao, Hud: Je! Hamchimngu? 124

Maelezo ya chini

124 Alipo waambia ndugu yao Hud: Hamumwogopi Mwenyezi Mungu, mkamsafia ibada?