Surat Ash-Shu'ara, aya 122

26:122

وَإِنَّ رَبَّكَ لَهُوَ ٱلۡعَزِيزُ ٱلرَّحِيمُ ١٢٢

Wa inna rabbaka lahuwal-'azīzur-rahīm

Kina A'd waliwakanusha Mitume. 122

Maelezo ya chini

122 Na hakika Mola wako Mlezi ndiye Yeye Mwenye nguvu za kumuadhibu kila jabari mwenye inda, Mwenye kuwaneemesha wachamngu kwa kila namna ya fadhila.