Surat Ash-Shu'ara, aya 113

26:113

إِنۡ حِسَابُهُمۡ إِلَّا عَلَىٰ رَبِّيۖ لَوۡ تَشۡعُرُونَ ١١٣

In hisābuhum illā 'alā rabbī law tash'urūn

Hisabu yao haiko ila kwa Mola wao Mlezi, laiti mngeli tambua!. 113

Maelezo ya chini

113 Hapana wa kuwalipa kwa vitendo vyao na kazi zao ila Mola wangu Mlezi; kwani Yeye ndiye anaye yajua vyema ya undani wao. Kama nyinyi ni watu watambuzi mngeli tambua hayo.