Surat Ash-Shu'ara, aya 112

26:112

قَالَ وَمَا عِلۡمِي بِمَا كَانُواْ يَعۡمَلُونَ ١١٢

Qāla wamā 'ilmī bimā kānū ya'malūn

Akasema: Nayajuaje waliyo kuwa wakiyafanya?. 112

Maelezo ya chini

112 Nuhu akasema: Kitu gani cha kunijuvya uchache wa hadhi yao na mali yao? Nikitakacho mimi kwao ni Imani yao bila ya kutafuta kuzijua kazi zao.