۞ قَالُوٓاْ أَنُؤۡمِنُ لَكَ وَٱتَّبَعَكَ ٱلۡأَرۡذَلُونَ ١١١
Qālū anu'minu laka wattaba'akal-ardhalūn
Wakasema: Je! Tukuamini wewe, hali wanao kufuata ni watu wa chini?. 111
Maelezo ya chini
111 Watu wa Nuhu, huku wakiukataa wito wake, walisema: Hatutokuwa na imani nawe maadamu wanakufuata watu duni kabisa, wasio kuwa na hadhi wala mali.