Surat Ash-Shu'ara, aya 110

26:110

فَٱتَّقُواْ ٱللَّهَ وَأَطِيعُونِ ١١٠

Fattaqullāha wa atī'ūn

Basi Mcheni Mwenyezi Mungu, na nit'iini mimi. 110

Maelezo ya chini

110 Basi tahadharini na adhabu ya Mwenyezi Mungu, na fuateni ninayo kuamrisheni.