Surat Ash-Shu'ara, aya 107

26:107

إِنِّي لَكُمۡ رَسُولٌ أَمِينٞ ١٠٧

Innī lakum rasūlun amīn

Hakika mimi kwenu ni Mtume muaminifu. 107

Maelezo ya chini

107 Hakika mimi ni Mtume, nimetumwa kwenu nikuongoeni kwenye Njia ya wongofu, na ni muaminifu wa kufikisha huu Ujumbe.