Surat Ash-Shu'ara, aya 108

26:108

فَٱتَّقُواْ ٱللَّهَ وَأَطِيعُونِ ١٠٨

Fattaqullāha wa atī'ūn

Basi Mcheni Mwenyezi Mungu, na nit'iini mimi. 108

Maelezo ya chini

108 Basi mkhofuni Mwenyezi Mungu, na fuateni amri yangu katika hayo ninayo kuitieni kwayo ya kumuamini Mwenyezi Mungu wa pekee na kumt'ii.