إِذۡ قَالَ لَهُمۡ أَخُوهُمۡ نُوحٌ أَلَا تَتَّقُونَ ١٠٦
Idh qāla lahum akhūhum nūhun alā tattaqūn
Alipo waambia ndugu yao, Nuhu: Je! Hamchimngu?. 106
Maelezo ya chini
106 Waliukanusha Utume huu pale alipo waambia ndugu yao Nuhu - ndugu kwa makhusiano ya nasaba si kwa Dini - akiwahadharisha: Hamumchi Mwenyezi Mungu, mkaacha kuabudu wenginewe?