Surat As-Saffat, aya 87

37:87

فَمَا ظَنُّكُم بِرَبِّ ٱلۡعَٰلَمِينَ ٨٧

Famā zannukum birabbil-'ālamīn

Mnamdhania nini Mola Mlezi wa walimwengu wote? 87

Maelezo ya chini

87 Mnamdhania nini huyo ambaye ndiye Mwenye haki ya kuabudiwa kwa kuwa Yeye ndiye Muumba walimwengu wote, mtapo kutana naye na hali nyinyi mmemfanyia washirika wenginewe katika ibada?