فَنَظَرَ نَظۡرَةٗ فِي ٱلنُّجُومِ ٨٨
Fanazara nazratan fin-nujūm
Kisha akapiga jicho kutazama nyota. 88
Maelezo ya chini
88 Basi akazitupia jicho nyota kuzitazama ili apate kuona dalili ya Muumba ulimwengu. Akaziona zinageuka, zinabadilika