أَئِفۡكًا ءَالِهَةٗ دُونَ ٱللَّهِ تُرِيدُونَ ٨٦
A'ifkan ālihatan dūnallāhi turīdūn
Kwa kuzua tu mnataka miungu mingine badala ya Mwenyezi Mungu? 86
Maelezo ya chini
86 Si mnazua uwongo tu ulio wazi kwa haya myatendayo, kwa kuwa mnamuabudu asiye kuwa Mwenyezi Mungu? Na si mnataka kuzua uzushi huu bila ya udhuru wowote ila kupenda kwenu tu?