Surat As-Saffat, aya 78

37:78

وَتَرَكۡنَا عَلَيۡهِ فِي ٱلۡأٓخِرِينَ ٧٨

Wataraknā 'alayhi fil-ākhirīn

Na tukamwachia (sifa njema) kwa walio kuja baadaye. 78

Maelezo ya chini

78 Na tukamwachilia Nuhu kutajwa kwa wema na watu walio kuja baada yake wakimdhukuru mpaka Siku ya Kiyama.