سَلَٰمٌ عَلَىٰ نُوحٖ فِي ٱلۡعَٰلَمِينَ ٧٩
Salāmun 'alā nūhin fil-'ālamīn
Iwe salama kwa Nuhu ulimwenguni kote! 79
Maelezo ya chini
79 Maamkio ya Salama na Amani kumuamkia Nuhu kutokana na Malaika, na watu, na majini.