Surat As-Saffat, aya 77

37:77

وَجَعَلۡنَا ذُرِّيَّتَهُۥ هُمُ ٱلۡبَاقِينَ ٧٧

Waja'alnā dhurriyyatahū humul-bāqīn

Na tuliwajaalia dhuriya zake ndio wenye kubakia. 77

Maelezo ya chini

77 Tukawajaalia vizazi vya Nuhu ndio walio bakia katika ardhi baada ya kuteketea watu wake.