Surat As-Saffat, aya 75

37:75

وَلَقَدۡ نَادَىٰنَا نُوحٞ فَلَنِعۡمَ ٱلۡمُجِيبُونَ ٧٥

Walaqad nādānā nūhun falani'mal-mujībūn

Na hakika Nuhu alitwita, na Sisi ni bora wa waitikiaji. 75

Maelezo ya chini

75 Na hakika Nuhu alitwita alipo kwisha kata tamaa na watu wake, basi na Sisi tukawa ni wabora wa kuitikia wito wake, tulipo muitikia ombi lake, na tukawaangamiza watu wake kwa tofani.