وَنَجَّيۡنَٰهُ وَأَهۡلَهُۥ مِنَ ٱلۡكَرۡبِ ٱلۡعَظِيمِ ٧٦
Wanajjaynāhu wa ahlahū minal-karbil-'azīm
Na tulimwokoa yeye na ahali zake kutokana na msiba mkubwa. 76
Maelezo ya chini
76 Na tukamwokoa Nuhu na walio amini pamoja naye, wasizame na kuteketea kwa tofani.