Surat As-Saffat, aya 74

37:74

إِلَّا عِبَادَ ٱللَّهِ ٱلۡمُخۡلَصِينَ ٧٤

Illā 'ibādallāhil-mukhlasīn

Isipokuwa waja wa Mwenyezi Mungu waliokhitariwa. 74

Maelezo ya chini

74 Lakini walikuwapo Waumini ambao aliwakhitari Mwenyezi Mungu wamuabudu Yeye, ili wapate fadhila za ukarimu wake. Basi hao walizipata thawabu zake, na wakaepukana na adhabu yake.