فَإِنَّهُمۡ لَأٓكِلُونَ مِنۡهَا فَمَالِـُٔونَ مِنۡهَا ٱلۡبُطُونَ ٦٦
Fa innahum la'ākilūna minhā famāli'ūna minhal-butūn
Basi hakika bila ya shaka hao watayala hayo, na wajaze matumbo. 66
Maelezo ya chini
66 Na wao watakuwa wanakula matunda ya mti huo, na wajaze matumbo yao kwayo. Kwani hawanacho kinginecho cha kukila.