طَلۡعُهَا كَأَنَّهُۥ رُءُوسُ ٱلشَّيَٰطِينِ ٦٥
Tal'uhā ka annahū ru'ūsush-shayātīn
Mashada ya matunda yake kama kwamba vichwa vya mashet'ani. 65
Maelezo ya chini
65 Matunda yake mabaya kuyatazama, yana sura ya kukirihisha, macho hayapendi kuyatazama, kama vichwa vya mashetani ambavyo kwa hakika watu hawajaviona, lakini mtu humpitikia tu katika dhana jinsi ya ubaya wake.