Surat As-Saffat, aya 67

37:67

ثُمَّ إِنَّ لَهُمۡ عَلَيۡهَا لَشَوۡبٗا مِّنۡ حَمِيمٖ ٦٧

Thumma inna lahum 'alayhā lashawbam min hamīm

Kisha juu yake wanyweshwe mchanganyo wa maji yamoto yaliyo chemka. 67

Maelezo ya chini

67 Kisha washirikina hao juu ya kula mti wa Zaqqum watapewa maji yaliyo changanywa, yamoto, ya kuwababua nyuso zao, na kukatakata matumbo yao.