Surat As-Saffat, aya 62

37:62

أَذَٰلِكَ خَيۡرٞ نُّزُلًا أَمۡ شَجَرَةُ ٱلزَّقُّومِ ٦٢

Adhālika khayrun nuzulan am shajaratuz-zaqqūm

Je! Kukaribishwa hivi si ndio bora, au mti wa Zaqqum? 62

Maelezo ya chini

62 Je! Hiyo riziki maalumu iliyo andaliwa kwa sababu ya watu wa Peponi ni bora, au mti wa Zaqqum ulio andaliwa kwa ajili ya watu wa Motoni?