لِمِثۡلِ هَٰذَا فَلۡيَعۡمَلِ ٱلۡعَٰمِلُونَ ٦١
Limithli hādhā falya'malil-'āmilūn
Kwa mfano wa haya nawatende watendao. 61
Maelezo ya chini
61 Ili wapate ukarimu wa Akhera kama walio bahatika kuupata Waumini, basi nawafanye kazi duniani hao wafanyao kazi, ili wapate kama walio pata wao.