إِنَّا جَعَلۡنَٰهَا فِتۡنَةٗ لِّلظَّٰلِمِينَ ٦٣
Innā ja'alnāhā fitnatal liz-zālimīn
Hakika Sisi tumeufanya huo kuwa ni mateso kwa walio dhulumu. 63
Maelezo ya chini
63 Hakika Sisi tumeujaalia mti huu uwe ni mtihani na adhabu ya Akhera kwa ajili ya washirikina.