Surat As-Saffat, aya 60

37:60

إِنَّ هَٰذَا لَهُوَ ٱلۡفَوۡزُ ٱلۡعَظِيمُ ٦٠

Inna hādhā lahuwal-fawzul-'azīm

Hakika huku bila ya shaka ndiko kufuzu kukubwa. 60

Maelezo ya chini

60 Hakika haya aliyo tupa Mwenyezi Mungu katika ukarimu wa Peponi bila ya shaka ndiyo kufuzu kukubwa, na kuvuka kukuu na hiyo adhabu tuliyo kuwa tunatahadhari nayo tangu duniani.