إِلَّا مَوۡتَتَنَا ٱلۡأُولَىٰ وَمَا نَحۡنُ بِمُعَذَّبِينَ ٥٩
Illā mawtatanal-ūlā wamā nahnu bimu'addhabīn
Isipo kuwa kifo chetu cha kwanza? Wala sisi hatutaadhibiwa. 59
Maelezo ya chini
59 Je! Sisi tutakaa milele tukineemeka katika Pepo, wala hatufi kabisa isipo kuwa kule kufa kwetu mara ya kwanza duniani, na wala hatuadhibiwi baada ya kwisha ingia Peponi?