Surat As-Saffat, aya 47

37:47

لَا فِيهَا غَوۡلٞ وَلَا هُمۡ عَنۡهَا يُنزَفُونَ ٤٧

Lā fīhā ghawlun walā hum 'anhā yunzafūn

Hakina madhara, wala hakiwaleweshi. 47

Maelezo ya chini

47 Hakiwaumizi kichwa na kuwaletea ghururi, wala kwa kukinywa hicho haiwapotei akili yao kidogo kidogo, yaani hakileweshi.