Surat As-Saffat, aya 46

37:46

بَيۡضَآءَ لَذَّةٖ لِّلشَّٰرِبِينَ ٤٦

Baydā'a laddhatil lish-shāribīn

Kinywaji cheupe, kitamu kwa wanywao. 46

Maelezo ya chini

46 Kinywaji chenyewe ni cheupe kinapo changanywa, na kitamu kwa wenye kukinywa.