يُطَافُ عَلَيۡهِم بِكَأۡسٖ مِّن مَّعِينِۭ ٤٥
Yutāfu 'alayhim bika'sim mim ma'īn
Wanazungushiwa kikombe chenye kinywaji cha chemchem. 45
Maelezo ya chini
45 Watawazungukia watoto na chombo chenye kinywaji kilicho toka kwenye chemchem zisio katika.