بَلۡ جَآءَ بِٱلۡحَقِّ وَصَدَّقَ ٱلۡمُرۡسَلِينَ ٣٧
Bal jā'a bil-haqqi wasaddaqal-mursalīn
Bali huyu amekuja kwa Haki, na amewasadikisha Mitume. 37
Maelezo ya chini
37 Bali Mtume wao amewaletea Tawhidi, Imani ya Mwenyezi Mungu Mmoja, ambayo ndiyo wito wa Mitume wote, naye akasadikisha kwa hivyo wito wa hao Mitume.