إِنَّكُمۡ لَذَآئِقُواْ ٱلۡعَذَابِ ٱلۡأَلِيمِ ٣٨
Innakum ladhā'iqul-'adhābil-alīm
Hakika nyinyi bila ya shaka mtaionja adhabu chungu. 38
Maelezo ya chini
38 Enyi washirikina! Hakika nyinyi hapana shaka mtaionja adhabu kali ya Akhera.