فَإِنَّهُمۡ يَوۡمَئِذٖ فِي ٱلۡعَذَابِ مُشۡتَرِكُونَ ٣٣
Fa innahum yawma'idhin fil-'adhābi mushtarikūn
Basi wao kwa hakika siku hiyo watashirikiana katika adhabu pamoja. 33
Maelezo ya chini
33 Kwani hakika wafuasi na wenye kufuatwa wote watashiriki pamoja katika adhabu ya Siku ya Kiyama.