Surat As-Saffat, aya 32

37:32

فَأَغۡوَيۡنَٰكُمۡ إِنَّا كُنَّا غَٰوِينَ ٣٢

Fa aghwaynākum innā kunnā ghāwīn

Tulikupotezeni kwa sababu sisi wenyewe tulikuwa wapotovu. 32

Maelezo ya chini

32 Tukakuiteni kwenye maasi na upotovu na nyinyi mkaitikia wito wetu. Kazi yetu ni kufanya hila ya kuwaita watu wafuate upotovu tulio nao. Basi hatuna lawama.