إِنَّا كَذَٰلِكَ نَفۡعَلُ بِٱلۡمُجۡرِمِينَ ٣٤
Innā kadhālika naf'alu bil-mujrimīn
Hivyo ndivyo tutakavyo wafanyia wakosefu. 34
Maelezo ya chini
34 Hakika mfano wa adhabu hiyo Sisi tunawapa wale walio fanya makosa katika Haki ya Mwenyezi Mungu kwa ushirikina na kutenda maasi.