بَلۡ هُمُ ٱلۡيَوۡمَ مُسۡتَسۡلِمُونَ ٢٦
Bal humul-yawma mustaslimūn
Bali hii leo, watasalimu amri. 26
Maelezo ya chini
26 Leo hii hawasaidiani, bali leo wanaongozwa tu, wamekwisha salimu amri.
بَلۡ هُمُ ٱلۡيَوۡمَ مُسۡتَسۡلِمُونَ ٢٦
Bal humul-yawma mustaslimūn
Bali hii leo, watasalimu amri. 26
26 Leo hii hawasaidiani, bali leo wanaongozwa tu, wamekwisha salimu amri.