وَقِفُوهُمۡۖ إِنَّهُم مَّسۡـُٔولُونَ ٢٤
Waqifūhum innahum mas'ūlūn
Na wasimamisheni. Hakika hao watasailiwa: 24
Maelezo ya chini
24 Na wazuieni hapo hapo; kwani wao hakika watahojiwa juu ya imani zao na vitendo vyao.