Surat As-Saffat, aya 23

37:23

مِن دُونِ ٱللَّهِ فَٱهۡدُوهُمۡ إِلَىٰ صِرَٰطِ ٱلۡجَحِيمِ ٢٣

Min dūnillāhi fahdūhum ilā sirātil-jahīm

Badala ya Mwenyezi Mungu. Waongozeni njia ya Jahannamu! 23

Maelezo ya chini

23 Enyi Malaika wangu! Wakusanyeni walio jidhulumu nafsi zao kwa kufuru, pamoja na wake zao wa kikafiri, na miungu yao waliyo kuwa wakiiabudu badala ya Mwenyezi Mungu, yakiwa masanamu au watu, na waonyesheni njia ya kwendea Motoni waingie humo.