Surat As-Saffat, aya 22

37:22

۞ ٱحۡشُرُواْ ٱلَّذِينَ ظَلَمُواْ وَأَزۡوَٰجَهُمۡ وَمَا كَانُواْ يَعۡبُدُونَ ٢٢

Uhshurul-ladhīna zalamū wa azwājahum wamā kānū ya'budūn

Wakusanyeni walio dhulumu, na wake zao, na hao walio kuwa wakiwaabudu. 22

Maelezo ya chini

22 Enyi Malaika wangu! Wakusanyeni walio jidhulumu nafsi zao kwa kufuru, pamoja na wake zao wa kikafiri, na miungu yao waliyo kuwa wakiiabudu badala ya Mwenyezi Mungu, yakiwa masanamu au watu, na waonyesheni njia ya kwendea Motoni waingie humo.