Surat As-Saffat, aya 170

37:170

فَكَفَرُواْ بِهِۦۖ فَسَوۡفَ يَعۡلَمُونَ ١٧٠

Fakafarū bihī fasawfa ya'lamūn

Lakini waliukataa. Basi watakuja jua. 170

Maelezo ya chini

170 Na Kitabu kikawajia, nao wakakikataa. Basi watakuja jua nini matokeo ya kukataa kwao.