Surat As-Saffat, aya 169

37:169

لَكُنَّا عِبَادَ ٱللَّهِ ٱلۡمُخۡلَصِينَ ١٦٩

Lakunnā 'ibādallāhil-mukhlasīn

Bila ya shaka tungeli kuwa ni waja wa Mwenyezi Mungu wenye ikhlasi. 169

Maelezo ya chini

169 Nasi bila ya shaka tungeli kuwa waja wa Mwenyezi Mungu wenye kumsafia ibada Yeye.