Surat As-Saffat, aya 166

37:166

وَإِنَّا لَنَحۡنُ ٱلۡمُسَبِّحُونَ ١٦٦

Wa innā lanahnul-musabbihūn

Na hakika sisi ndio wenye kusabihi kutakasa. 166

Maelezo ya chini

166 Na hakika sisi bila ya shaka yoyote ndio wenye kumtakasa Mwenyezi Mungu na kila lisilo kuwa na maelekeo naye katika kila hali.