Surat As-Saffat, aya 161

37:161

فَإِنَّكُمۡ وَمَا تَعۡبُدُونَ ١٦١

Fa innakum wamā ta'budūn

Basi hakika nyinyi na mnao waabudu. 161

Maelezo ya chini

161 Enyi makafiri! Hakika nyinyi, na hao mnao waabudu badala ya Mwenyezi Mungu - Nyinyi kwa kuwaabudu kwenu badala yake Yeye, hamtampoteza yeyote kwa upotovu wenu. Isipo kuwa yule ambaye tangu hapo Mwenyezi Mungu Mtukufu anamjua ni katika watu wa Motoni, na huko ataingia.