أَءِذَا مِتۡنَا وَكُنَّا تُرَابٗا وَعِظَٰمًا أَءِنَّا لَمَبۡعُوثُونَ ١٦
A'idhā mitnā wakunnā turāban wa'izāman a'innā lamab'ūthūn
Ati tukisha kufa na tukawa udongo na mifupa ndio kweli tutafufuliwa? 16
Maelezo ya chini
16 Hivyo sisi tukisha kufa tukawa udongo na mafupa tutatolewa tena makaburini kwetu tuwe wahai?