Surat As-Saffat, aya 17

37:17

أَوَءَابَآؤُنَا ٱلۡأَوَّلُونَ ١٧

Awa'ābā'unal-awwalūn

Hata baba zetu wa zamani? 17

Maelezo ya chini

17 Sisi tuwe wahai, na pia watafufuliwa baba zetu wa zamani walio kufa kabla yetu, na wakapotea, na wakateketea?