Surat As-Saffat, aya 15

37:15

وَقَالُوٓاْ إِنۡ هَٰذَآ إِلَّا سِحۡرٞ مُّبِينٌ ١٥

Waqālū in hādhā illā sihrum mubīn

Na husema: Haya si chochote ila ni uchawi tu ulio dhaahiri. 15

Maelezo ya chini

15 Na makafiri husema juu ya Ishara zinazo onyesha uweza wa Mwenyezi Mungu: Haya tunayo yaona si chochote ila ni uchawi tu.