Surat As-Saffat, aya 128

37:128

إِلَّا عِبَادَ ٱللَّهِ ٱلۡمُخۡلَصِينَ ١٢٨

Illā 'ibādallāhil-mukhlasīn

Isipo kuwa waja wa Mwenyezi Mungu walio safishwa. 128

Maelezo ya chini

128 Isipo kuwa waja wa Mwenyezi Mungu walio safisha Imani yao. Hao basi ndio wenye kufuzu.