Surat As-Saffat, aya 129

37:129

وَتَرَكۡنَا عَلَيۡهِ فِي ٱلۡأٓخِرِينَ ١٢٩

Wataraknā 'alayhi fil-ākhirīn

Na tumemwachia (sifa nzuri) kwa walio kuja baadaye. 129

Maelezo ya chini

129 Na tukamjaalia awe anatajwa kwa wema na ndimi za walio kuja baada yake.